bango

bango

@Nady Actor
1Utilizações
0Ações
0Gostos
0Salvo por

Acha kujiumiza vidole ivo, "Hii hapa ni automatic screw driver - screwdriver ya inayotumia battery kurahisisha mambo yako "Inakuja na set ya Vifaa 35 vya smaku unavyoweza kuunganisha, na motor yake inazunguka hadi speed hadi 360 RPM." "Inafaa kwakufungulia simu, laptop, fanicha, rimoti —na kazi yoyote inayohitaji kukaza screw au kutoboa kama drilli kwa ufanisi" "Ina mwanga wa LED ukifanyia kazi gizani, pia inachaji kwa USB-C Fasta, ina quality kwasababu material ya body yake ni aluminium. !!!! LTE C Hii unaipata kwa Tsh 120,000/=

sw
Público
Amostras
Ainda não há amostras de áudio